3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
STAND ALONE NYUMBA KUBWA SANA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE MAFUNDI WAPO KAZINI TAREHE 01/08/2024 NDIO UNAHAMIA
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#DAINING TABLE
#STORE
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI YA KISASA
#CHOO CHA FAMILIA NDANI
#FULL TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING PAVING ZINAWEKWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#CCTV CAMERA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 4,5,6
#NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI PARKING YA GARI NNE NDOGO
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 37