3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


STAND ALONE NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE KUBWA SANA INAFAA KWA FAMILIA KUBWA #BEI 650K
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#DAINING TABLE
#STORE
#CHOO NA BAFU VYA FAMILIA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW
#ELECTRICK FANCE
#PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGURE KLM 1.5 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI DALADALA/500 UKISHUKA TU DK 8 UPO GETINI
#BEI NI 650,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#NYUMBA HII IPO KWENYE MABORESHO YA RANGI NA VITU VIDOGO VIDOGO
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA
0715949085
0782838336