3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HII NI NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAUZWA (85 MILIONI) MAONGEZI KIDOGO
UKUBWA WA ENEO SQMT 400
NYUMBA HII KWA SASA INAMPANGAJI NA ANALIPA KODI LAKI TANO KWA MWEZI
LOCATION
KIMARA KOROGWE KWA MKUWA PIA UNAWEZA PITIA UBUNGO EXTRENAL USAFIRI BAJAJI SH 5OO ZIPO DALADALA ZA MOJA KWA MOJA KWENDA KARIAKOO UKISHUKA DK 4 KWA MIGUU UPO NYUMBAN
SIFA ZAKE
#VYUMBA VITATU VYA KULALA
#KIMOJA MASTER
#SEBULE
#JIKO
#PUBLIC TOILET YA NDANI
#FULL A.C
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE IPO
GHARAMA ZA KWENDA KUKAGUA NYUMBA ELFU THELASINI 30,000
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747