3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA IPO. KIMARA TEMBONI, (ANAZAK)
USAFIRI BODA (1000)
INAVYUMBA VITATU VYAKULALA KIMOJA MASTAR, INASEBULE KUBWA N DINING JIKO KUBWA NA PABLICK TOILET
INATAILIZY GYUPUSAM MADILISHA NYAVU
MAJI YANATOKA CHOONI NA JIKONI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
NYUMBA AIPO NDANI YA FENSI USALAMA WAKUTOSHA
KODI 250,000/= 6
PIA KUNAPESA YKULINDA NYUMBA KODI YAMWEZI MMOJA
KUONA NYUMBA 15000
PIA UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI UKILIPIA NYUMBA
CONT
0683234124
0718367179