3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam






House for Sale . Nyumba hii Ina Uzwa
Location Kimara Suka Km 1 from Road Unaweza Kutembea mpaka Kituoni
Price Milion 150 Negation
Bei Million 150 Maongezi yapo
Service Charge 50 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Room 3 Moja ni Master Bedroom
Sitting Kubwa
Dining room
Kitchen with Cabinet
Store
Public toilet ndani
Bafu
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Pavin Block
Garden nzuri
Garage ya Kulala Gari
Savant Kota ya Chumba na Sebule jiko
Nyumba hii Ina wapangaji wa 2 tuu
Kodi ya Nyumba Kubwa ni 500000×6 Kwa Mwezi
Kodi ya Savant Kota ni ya Chumba na Sebule jiko Choo ni 200000×6 Kwa Mwezi
Jumula ni. 700000 Kwa Mwezi Kwa Nyumba zote
Kwahio 700000×6 Kwa Miezi 6 = 4200000#
Kwahio 700000×12 Kwa Miezi 12= 8400000#
Pesheni hio ya Uzeeni
Piga sim Kwa Maelezo zaidi usitume sms utachelewa Kujibiwa
0712500602
0755336565