3 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba mpya ya vyumba vitatu (kimoja master), sebule, jiko lenye makabati na public toilet. Ipo Kinyerezi Darajani karibu na airport π«.
Dakika 0 kutoka lami.
Wale wa magari ya chini apa safi kabisa nyumba lami.
Wapangaji wanne.
Kila kitu unajitegemea.
Kuingia ni mwezi wa 8.
Kuona na kulipia ruksa.
Zimebaki mbili tu.
Kodi 650,000/= MIEZI SITA.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga π 0688 412 890.