3 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI SANA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI
VYUMBA 3 VIKUBWA VYOTE MASTER VIKUBWA SANA
PABLICK TOILET
JIKO ZURI KUBWA
MAJI YAKO
UMEME WAKO
NDANI YA FENSI
NYUMBA HII IPO KINYEREZI MWISHO UMBALI KM 1 MPAKA KWA NYUMBA
NYUMBA KALI SANA AAAA
BEI 350K X6
MAONGEZI YA MIEZI YAPO USIONGOPE
WAHI UPATE NYUMBA NZURI
0679997610
0747997630