3 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Kinyerezi Mbuyuni. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vitatu
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Boycotta
- Store
- Public toilet
- Water reserve tank
- Paving
- Parking
- Fence
Kodi 400,000/=.
Muhitaji piga š 0688 412 890.