3 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Kinyerezi Mbuyuni Mwisho. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko
- Public toilet
- Water reserve tank
- Parking
- Fence
- Dakika 5 kituoni
Kodi 500,000/=.
Muhitaji piga 0688 412 890.