3 Bedrooms House for Rent at Mabanda, Tanga







STAND ALONE YA NGUVU YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 900,000/= X 6 
🌟STAND ALONE HII INA SIFA ZIFUATAZO 
 4 VIKUBWA VYA KULALA 
# MASTER BEDROOM 3 
 KUBWA SANA 
 SAFI 
 KUBWA
 KIZURI (PUBLIC TOILET )
# VYUMBA VINGINE V2 VYA NJE VYAWAGENI NA CHOO CHOO NJE 
 NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA, PIA KUNA TANK LITA 5000 JUU
 KUBWA
 SECURITY 
PIA KUNA SWIMMING 🏊♀️ NDANI UMO YA FENSI 
PIA KUNA MABANDA YAKUFUGA KUKU NA NA MBWA PIA 
BEI NI 900 000/= X 6
💫💫NYUMBA  HII IPO KINYEREZI MWISHO  UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA KINYEREZI ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 RAMI MPKA MLANGONI INAFAA GARI YA AINA ZOTE ZINAFIKA 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0713661530_0783661530



















