3 Bedrooms House for Rent at Mabanda, Tanga







STAND ALONE NZURI YA KISASA SANA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA SH 550,000/= X 4
π STAND ALONE HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DAININI
#JIKO KUBWA
#STORE
#PUBLIC TOILET
# PIA INA MABANDA KABISA YAKUFUGIA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA
BEI NI 550,000/= X 4
π«π« STAND ALONE HII IPO MBEZI MWISHO NJIA YA MARAMBA KITUO TANESKO NI DK 1 TUU KWA MGUU KUTOKA KITUONI
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT: 0672 673363