3 Bedrooms House for Rent at Madale, Dar Es Salaam


Nyumba mpya stand alone kali sana inapangishwa:
Room 3 moja self, Sebule, jiko, public toilet na
maji dawasco yapo
Kodi- laki 7 kwa mwez kuanzia miez 6
Location- madale kwa mayelu
Umbali-km 1.2 kutoka main road madale mwisho
Kuoneshwa nyumba (Service change) 30k
Malipo ya dalali (agents commission) 700,000
Karibuni
Mawasiliano Whatsapp au call 0784 919 453,, call only 0658 582 977
Kujiunga na group letu la Whatsapp bonyeza hapa 👇 https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq
.
.
.
#rental #home #business #apartments #instagood


















