3 Bedrooms House for Rent at Makongo, Dar Es Salaam


Stand Alone House(Nyumba ya kujitegemea)
Makongo Songasi: Nyumba ya Kisasa ya Vyumba 3 Inapangishwa
Bei: TZS 1.5 Milioni kwa Mwezi
Mahali: Makongo Songasi
Maelezo ya Nyumba:
• Vyumba 3 vya kulala, moja ikiwa ni master bedroom
• Sebule kubwa ya kisasa
• Jiko lenye makabati ya kisasa
• Dining room ya kupendeza
• Nyumba ipo karibu na barabara kuu, rahisi kufikika
Gharama za Ziada:
• Service charge: TZS 20,000
• Ada ya wakala: Malipo ya mwezi mmoja
Kwa Mawasiliano Zaidi:
Piga simu au WhatsApp: +255692932076