3 Bedrooms House for Rent at Makumbusho, Dar Es Salaam


Nyumba ya Vyumba Vitatu Inapangishwa - Makumbusho
Bei: TZS 1.2 Milioni kwa mwezi
Mahali: Makumbusho
Gharama za Huduma: TZS 20,000
Ada ya Dalali: Kodi ya mwezi mmoja
Maelezo ya Nyumba:
• Vyumba Vitatu vya Kulala
• Kimoja ni Chumba Master
• Sebule Kubwa
• Jiko
• Chocho ya Umma (Public Toilet)
• Eneo la Maegesho (Parking)
• Nyumba ipo Karibu na Barabara
Mawasiliano:
Kwa maelezo zaidi, piga simu au WhatsApp:
+255 692 932 076