3 Bedrooms House for Rent at Mapinga, Pwani





🌟 STANDALONE INAPANGISHWA 🌟
📍 Eneo: Mapinga
🏠 Muundo wa Nyumba:
• 🛏️ Vyumba 3 (2 Master)
• 🛋️ Sebule
• 🍽️ Jikoni + Dining
• 📦 Stoo
• 🚽 Choo cha Public
• 💧 Maji ya DAWASCO
• ⚡ Umeme wa LUKU
💸 Kodi: Tsh 300,000/= kwa mwezi (kuanzia miezi 6)
🧾 Service Charge: Tsh 30,000/=
ℹ️ NB: Nyumba haina fensi, lakini mazingira ni salama sana.
📲 Wasiliana: 0687 800 788 / 0713 958 395