3 Bedrooms House for Rent at Mawasiliano, Morogoro


Nyumba ya Kujitegemea
Nyumba ya vyumba vitatu vya kulala, sebule, jiko la ndani na jiko la nje. 1.5Million/Mwezi Changanyikeni udsm
Maelezo ya Nyumba
• Vyumba viwili vya kulala
• Chumba kimoja ni master
• Sebule kubwa yenye nafasi
• Eneo la Dining
• Jiko kubwa lenye makabati
• Maegesho makubwa
• Eneo kubwa la bustani
• Tanki la maji la kuhifadhia
• Nyumba ipo karibu na barabara kuu
Bei: TZS 1.5 Milioni kwa mwezi
Mahali: Changanyikeni, karibu na UDSM
Gharama ya huduma: TZS 20,000
Ada ya Dalali: Kodi ya mwezi mmoja
Kwa mawasiliano zaidi:
Piga/WhatsApp: +255692932076
Usisahau kufuata akaunti yetu. Tunapost nyumba mpya kila siku!