3 Bedrooms House for Rent at Mbagala, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa bei laki 3 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6 nakuendelea, ni stand alone house. Nyumba IPO mbagala chamazi Mzambarauni, ina rooms 3 vyakulala, sitting room, dinning room, jiko, room moja ni master bedroom, public toilet ipo, tiliz, madilisha vioo, umeme upo unajitegemea luku yk pamoja na maji pia mita yk, na fensi pia IPO ya parking. Nyumba ni mpya kabisa haijakaliwa na mtu yeyote yule, umbali wake kutoka kwenye kituo cha daladala hadi kwenye nyumba ni kama mwendo wa dakika 8 ivi kwa kutembea kwa miguu. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.