3 Bedrooms House for Rent at Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa bei laki 3 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6 nakuendelea. Nyumba IPO mbagala maji matitu location shule ya secondary. Nyumba ina rooms 3 vyakulala sitting room, dinning room, jiko, room moja ni master bedroom, public toilet ipo, full A/C kwenye chumba cha master bedroom, fensi ya parking ipo, paving blocks chini zpo, na security wiring juu ipo. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 0719250426.