3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
NI NYUMBA KUBWA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
IPO KWENYE FENCE YA PEKE YAKE. STAND ALONE
LOCATION: MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO BAJAJI 700 BRBR NI LAMI MPAKA NYUMBANI
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VITATU VIKUBWA
SEBULE KUBWA
DINNING
JIKO ZURI KUBWA
LENYE MAKABATI
STOO
TILLES &GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAKE
YANAFLOW NDANI
NDAN YA FENS
PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK SAFI
GARDEN NZURI
FULL SECURITY
KAMERA NYUMBA NZIMA
ELECTRONIC FENCE
YAAN ULINZI NI WA UAKIKA KABISA KAMERA NI PANDE ZOTE NNE ZA NYUMBA SEBULENI KORDO JIKON NA MASTER
KODI NI 600,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0652472014
0652472014