3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







HOUSE FOR RENT STAND ALONE
LOCATION
MBEZI MWISHO
KM 1.3 TOKA MAIN ROAD
USAFIRI WA BAJAJ UPO
BEI NI 700,000/=X6
SIFA ZAKE
VYUMBA 3 KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA DINNING
JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
INA JIKO LA NA NJE NA CHOO PIA
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
INA AIR CONDITION SAFI
FENSI NA PARKING NI KUBWA
SIMU
0712656027