3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6
NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA SANA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
BEI NI 500,000/ X 6
๐ NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA IPO MBEZI MWISHO JIRANI KABISA NA BARABARA IPO NJIA YA KUELEKEA GOBA
NA KUTOKA GOBA ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 3 TUU KWA MIGUU
KUONYESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
What saapp number 0689-547258