3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


đź”° Inapangishwa MBEZI KWA MSUGURI
📍 Kodi 400,000/= *6
__
___________
• Vyumba 3 vyakulala (kimojawapo master bedroom)
• Sebule
• Dinning
• Jiko
• Public toilet
#Umbali KM 1.5 barabara safi ya zege wenye gari za chini fursa hii
* Umeme Kwa sasa kuna wa single room utatumia naye anafungiwa submeter
* Maji Ndani
* Ndani ya Fensi
* Parking
#NB: Ukilipia unasubiri wiki moja afanye marekebisho ndani halafu utahamia
____
#Kupelekwa kuona nyumba Tsh 15,000/=
#Malipo ya Dalali Tsh 400,000/=