3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







#STAND ALONE HOUSE FOR RENT/ NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA MBEZI LUGURUNI #300K
=
Vyumba 3 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa dinning jiko kubwa, stoo, public toilet ya ndani ,
=
Kodi 300,000 Kwa mwezi × 6
===
Ndani ya fence parking IPO Bado kuwekwa Geti inajitegemea kila kitu, Umbali KM 1.5 Tu kutoka Morogoro Road
==
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
O679447338
O753454167