3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







(600,000X6) MBEZI MWISHO MAGUFULI STAND..1.5KM BODA ELF MOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NYUMBA INAJITEGEMEA KWENYE FENSI
STAND ALONE YA NGUVU MAZINGIRA TULIVU
===
✔️VYUMBA VITATU
✔️KIMOJA MASTER
✔️ SEBULE
✔️JIKO
✔️CHOO CHA PUBLIC NDANI
✔️FENCED
===
NYUMBA IPO MBEZI MAGUFULI STENDI YA MKOA
UMBALI KUTOKA STENDI NI KM. 1,5
PKPK. 1000/=
===
KODI. 600,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI. 600,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====
0716223412
0683597453