3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







STAND ALONE/ NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA MBEZI MAKABE KWA LIPERANYA #400K
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule dinning jiko na public toilet
Kodi 400,000 Kwa mwezi × 6
Nyumba inajitegemea kila kitu ina parking kubwa na ENEO la KUFUGIA lipo
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
SIMU
0712656027