3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA YA INAPANGISHWA YA KISASA## 500K
----------------------------------------------------------------------------
IPO MBEZI KWA MSUGURI
UMBALI KM 3.5 KUTOKA
MOROGORO ROAD
DAR ES SALAAM
TANZANIA ๐น๐ฟ
=========
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA BODA 1500.
SIFA YA NYUMBA=
VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
DINING ROOM
PUBLIC TOILET
JIKO ZURI KUBWA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
TAILS #GYPSUM ##CCTV CAMERA ##FULL PEVING BLOCK ##NDANI YA FENSI PARKING IPO
----------
KODI NI LAKI 500,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO MIEZI SITA NA
MALIPO YA DALALI MWEZI
MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
----------
CONT.
0788410350
0766825473