3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 250000X6
________
APATIMENTI ZIPO MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA KITUO KANISANI
_________
ZIPO NYUMBA 3
MOJA NDIO MPANGAJI ANA HAMA TAREHE 4
MWEZI WA 7
__________
UKISHUKA KWENDA KWENYE NYUMBA KUTEMBEA DAKIKA 6
_________
SIFA YA NYUMBA
INAVYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTA SEBULE DAININGI JIKO
_________
CHOO CHA CHA PABILIKI JIKO NYUMBA IPO NDANI YA FENSI
_________
UMEME KILA NYUMBA INAKITEGEMEA MAJI YA KUSHEA
_______
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJ
________
Pga cm
0789352273
0716171830