3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
:
APARTMENT NZURI YA KISASA YA FAMILIA
APARTMENT NZURI YA KISASA IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 3 TUU UPO KWENYE
NYUMBA NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA NDUGU MTEJA
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#HEATER YA MAJI MOTO
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#FULL SECURITY (ULINZI WA KUTOSHA)
BEI NI 600,000/= X 6
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247
0754 221168