3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana mpya kabisa
Location mbezi mwisho barabara ya malamba km2
Zipo Apartiment 3 tofauti
A] Room 3 moja ni master bedroom Sitting room Kitchen with cabinet Public toilet Umeme luku yake Maji dawasa ndani yanafloo Kodi 500000 kwa mwezi
B] Room 2 moja ni master bedroom Sitting room Kitchen with cabinet Public toilet Umeme luku yake Maji dawasa ndani yanafloo Kodi 400000 kwa mwezi
C] Chumba kimoja master Sebule Jiko Umeme luku yake Maji dawasa ndani yanafloo Paving block Parking space Nyumba ipo ndani ya fency Kodi 300000 kwa mwezi
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















