3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 400000X6
___________
NYUMBA YA KUPANGA IPO MBEZI KWA MSUGURI
___________
STENDI ALONI
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA 2
USAFIRI WA BAJAJI 700
BODA BODA 1000
_______
SIFA YA NYUMBA
INAVYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTA
SEBULE KUBWA DAININGI
JIKO
_____
MWENYE NYUMBA ANAHAMIA SOKONI
_____
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347