3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA MBEZI NJIA YA MARAMBA
======================
*VYUMBA 3 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, MAKABATI CHUMBANI SEBULE, JIKO LENYE MAKABATI, DINNING,STORE, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
*NYUMBA HAIKO NDANI YA FENSI, ILA MAZINGILA MAZULI NA SALAMA, INAJITEGEMEA KILA KITU
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM 1.5 BAJAJ 500 UKISHUKA DAKIKA 3 KWA MGUU
*KODI 350,000 KWA MWEZI KODI YA MIEZI 6
_____________________________
NB:ITAKUWA WAZI TAREHE 5/6
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
======================
*CALL: 0659244543
======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
_____________________________