3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







(300,000X6)MBEZI MALAMBA MAWILI MWISHO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NYUMBA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI (STAND ALONE HOUSE FOR RENT)
INAPANGISHWA BEI NI 3000,000/= X 6
💥 NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA, 1 NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#ELECTRIC FANCE
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PARKING KUBWA
#PAVING
BEI NI 300,000/= X 6
🇹🇿 NYUMBA HII IPO MALAMBA MWISHO
UMBALI 2.5km
PIKIPIKI 1500
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024