3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 300000X3 /4/5/6
==========
APATIMENTI ZIPO MBILI KWENYE FENSI MOJA
==========
ZIPO MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA KITUO
UKISHUKA KWENDA KWENYE NYUMBA
DAKIKA 8 KWA MIGUU
=========
SIFA YA NYUMBA
INAVYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA KUBWA SANA
====
SEBULE DAININGI JIKO
LA MAKABATI
CHOO CHA PABILIKI
=======
KILA NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME
MAJI YA KUSHEA
========
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
=========
SIMU
0712656027