3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
KARIBU UISHI BARABARANI KABISA #STAND_ALONE_FOR_RENT AT MBEZI MWISHO MAGARI SABA
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule dinning jiko na public toilet
Kodi 300,000 Kwa mwezi× 6 ( nimepunguza bei kwahiyo miezi iwe 6)
Umbali Dakika 2 Kwa mguu toka Morogoro Road
Ndani ya fence parking IPO
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167