3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
House for rent stand alone inajitegemea geti yake Kali Sana nzuri
Location Mbezi kwa msuguli dakika 12 kutembea mpaka home
Kodi 800000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 20000 kuona nyumba
Room 3 na 2 ni Master bedroom
Sitting room
Daning room
Kitchen with cabinet
Public toilet
Hita ya Maji moto na baridi bafuni
Umeme luku yake
Maji dawasa ndan yanafloo mita yake
Paving block
Parking space fency
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128