3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI MWISHO NYUMA YA STEND YA MKOWA KM1 KUTOKA LAMI
-----
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa
------
Service charge 15,000/=
Kodi 600,000/=ร6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 6
-------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big__kimara๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐



















