3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
--------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
J8ko
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 450,000/=Γ6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja tu
---------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARAπΉπΏ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT πΉπΏ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA π