3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







(400,000 × 6) #STAND_ALONE KUBWA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
SIFA ZAKE
INA VYUMBA 3 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO SAFI LA KISASA
DINING
PUBLIC TOILET
BEI NI 400,000 × 6 ILIPWE LAKI NNE KODI YA MIEZI SITA
NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KUTOKA MOROGORO ROAD KM 1 BARABARA MKEKA LAMI YA ZEGE
KUJA KUONA NYUMBA NI ELF 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
USAFIRI UPO BAJAJI 700
BODABODA 1000
BEBA PESA KABISA MAMBO YASIWE MENGI
Contact:
0654101710
0787205300