3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


STAND ALONE FOR RENT,NYUMBA YA KUJITEGEMEA INAPANGISHWA
LOCATION:MBEZI MWISHO
PIKIPIKI:1000
KODI YAKE:400,000=/ KWA MWENZI
MALIPO MIEZI 6
SIFA YA NYUMBA
š„VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER
š„SEBURE KUBWA
š„JIKO SAFII
š„DINNING
š„FENI
š„PAVING BLOCK
š„PARKING KUBWA
š„MAJI DAWASCO
š„FENCE
CONTACT
0782428327