3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APATMENT MPYA KABISA UNAZINDUA MWENYEWE
KODI 500,000X6
LOCATION: MBEZI MWISHO
UMBALI DAKIKA 15 KWA MGUU UKITOKEA MBEZI MWISHO
Ni KILOMITA MOJA TU KUTOKA STAND YA MWENDOKASI MBEZI
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER SEBULE NA JIKO LA KISASA
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA TILILIKA NDANI
KWENYE COMPAUND MOJA ZIPO MBILI TU NA KILA MOJA INAJITEGEMEA KWA KILA KITU
BARABARA NI LAMI HADI KWENYE NYUMBA
ZIPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
KUONA NYUMBA SERVICE CHURGE 20,000
HII NYUMBA NI YA KISASA
PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI



















