3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT KALI SANA HII JAMANI USIKOSE
IPO MBEZI STAND YA MAGUFULI
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MABASI NI DAKIKA 15 KWA MGUU
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
PUBLIC TOILET YA KISASA
JIKO KUBWA SANA
FULL MAKABATI YA JUU NA CHINI
CCTV CAMERA
HEATER WATER
FENS KUBWA
PARKING SPACE KUBWA SANA
FULL PEVING BLOCK
ELECTRIC FENCE
GARDEN SAFI
KODI 700,000X6 MAONGEZI YAPO KUHUSU MIEZI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
NDUGU MTEJA PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
0753 989554
0773700963
=====