3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







0677445508
#NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE INAPANGISHWA
BEI NI 500,000/= X 6
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA
KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
SEBULE KUBWA
DINNING
JIKO KUBWA
STORE
PUBLIC TOILET
PARKING KUBWA
PAVING
BEI NI 500,000/= X 6
💫💫 NYUMBA HII IPO KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 20 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20
💥 NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA



















