3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA
NYUMBA HII IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK (5) KWAMIGUU
NYUMBA HII INAVYUMBA (3) VYAKULALA MASTAR BEDROOM KUBWA SANA, SEBULE KUBWA NA DINING JIKO KUBWA FULL MAKABATI NA PABLICK TOILET
INATAILIZY GYUPUSAM MADILISHA SHATA
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
NYUMBA INAMANDA KWA WALE WAFUGAJI RUKSA
NYUMBA HII ITAKUA WAZI MWISHO WA MWEZI HUU (5)
KUONA SEBULENI NA JIKONI RUKSA KAMA MPANGAJI ATAKUWEPO
KODI 500,000/X 6
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI KAMA UKILIPIA NYUMBA
CAL
0713320608
0686334182