3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGULI KM1 KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000/=ร6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
-----------
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693_673010
#dalali_big_kimara ๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐