3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







0679997610
#JUMBA KUBWA SANA LINALO JITEGEMEA LENYEWE KWENYE FENSI YA WAYA LINA PANGISHWA
SEHEMU: #KIMARA_SUKA
UMBALI KM 1.5
BODA 1000
#KODI 350,000X6
#VYUMBA VITATU VYA KULALA
#KIMOJA MASTER INA MAKABATI YA NGUO
#VYOO VYA FAMILIA VIWILI VYA NDANI
#SEBULE KUBWA SANA NA DINNING
#JIKO KUBWA LA MAKABATI YA JUU NA CHINI
#STORE KUBWA
PIA INA ENEO KUBWA SANA KWA WAFUGAJI AU WALIMAJI
MAFUNDI WANAPIGA RANGI NYUMBA YOTE PAMOJA NA MAREKEBISHO MENGINE YOTE HUSUSANI MIFUMO YA MAJI NA KILA KITU
KILA CHUMBA KINA MAFENI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.20,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
NDUGU MTEJA PIGA CM USITUME SMS WALA DM UTACHELEWA KUJIBIWA