3 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam


📍NYUMBA NZURI SANA 🏘️🏡 INAJITEGEMEA INAPANGISHWA: IPO MBWENI UBUNGO (DAR ES SALAAM)
INA VYUMBA VITATU CHUMBA KIMOJA MASTER SEBLE DINING JIKO NA PUBLIC TOILET
KODI: TSH 600K KWA MWEZI
KWA MAWASILIANO ZAIDI
Call/ piga simu O745010009 au 0742707023