3 Bedrooms House for Rent at Mkolani, Mwanza


NYUMBA INAPANGISHWA MKOLANI
-ina vyumba vitatu (3) vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-ina heater, car parking space, Air condition, makabati
-kodi Milioni 6 kwa mwaka
-malipo ni mwaka mzima
NB:- Nyumba ya kwanza kutoka barabara ya lami
☎️ 0743220097