3 Bedrooms House for Rent at Moshono, Arusha


Nyumba ya bedroom 3 ina pangishwa Arusha moshono
Ina bedroom 3 yenye kabati
Ina master
Ina sitting
Ina dining
Ina kitchen yenye kabati
Ina public toilet
Ina heater system
Ina parking space
Stand alone
Meter: 500 toka main road
Bei laki 500000 kwa mwezi
Location moshono
Kwa mwiitaji piga number
0753503791/0784457400