3 Bedrooms House for Rent at Segerea, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Segerea Mwisho.
Vyumba vitatu (kimoja master),sebule, jiko lenye makabati, public toilet, paving na parking.
Dakika 0 kutoka kituoni.
Kodi 700,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.