3 Bedrooms House for Rent at Sinza, Dar Es Salaam
Stend alon house for rent
Date listed
21 11 2024
Direction
Sinza kijiweni
Fixed price
Laki 600 000 kwa mwezi kodi miezi 6
Service charge yakuona nyumba ni shi 30000 pia nakodi yamwezi 1 wadalali
3bedroom sting room chumba kimoja nimastar kitchen pablic toilets paking ipo nyumba ipo vizuri. Mpangaji anahama mwisho wa mwezi wa 12 kama huna haraka njoo uone
Notes
Dc
Real estate campany
Epuka matapeli fanya kazi namadalali wenye ofis nawaliosajiliwa
Fika ofisin kwetu sinza madukani near manyala hotel
Call
0688 49 82 99
0758 43 02 45 whatsAp